ZFDA Yateketeza Tani 3 za Dawa na Vipodozi Visivyofaa kwa Matumizi ya Binadamu
Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA) unaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuhakikisha usalama wa afya ya jamii kwa kusimamia ubora, usalama na ufanisi wa bidhaa za chakula, dawa,…