Makamo wa Pili wa Raisi kutembelea Banda la ZFDA
Afisa uhusiano wa wakala wa chakula Dawa na Vipodozi nd. zuwena ngwali makame akimpatia maelezo mhe. Hemed Suleiman Abdulla juu ya udhibiti na usalama wa chakula Dawa na Vipozi wakati…
News related to public
Afisa uhusiano wa wakala wa chakula Dawa na Vipodozi nd. zuwena ngwali makame akimpatia maelezo mhe. Hemed Suleiman Abdulla juu ya udhibiti na usalama wa chakula Dawa na Vipozi wakati…
TAARIFA KWA UMA Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) ni taasisi iliyo chini ya Wizara ya Afya inayofanya kazi kwa mujibu wa Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi Na. 2/2006…
Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) inawatangazia wafanyabiashara wote wa maziwa kuwa, ifikapo tarehe 20 Februari 2020, kwa mujibu wa Sheria namba 2 ya 2006 ya Chakula, Dawa na Vipodozi…
Mkuu wa kitengo cha Uchambuzi wa Athari zitokanazo na Chakula wa Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA)Aisha Suleiman akitoa Elimu ya Matumizi ya Chakula Vinywaji pamoja na Peremende kwa Wanafunzi…
Dr Burhani O Simai Wafamasia Zanzibar Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi inawatakia mafanikio mema wafamasia wote, ikiwa leo ni siku ya maadhimisho kwa wafamasia wote duniani.. kauli mbiu ya…