Makamo wa Pili wa Raisi kutembelea Banda la ZFDA
Afisa uhusiano wa wakala wa chakula Dawa na Vipodozi nd. zuwena ngwali makame akimpatia maelezo mhe. Hemed Suleiman Abdulla juu ya udhibiti na usalama wa chakula Dawa na Vipozi wakati…
Afisa uhusiano wa wakala wa chakula Dawa na Vipodozi nd. zuwena ngwali makame akimpatia maelezo mhe. Hemed Suleiman Abdulla juu ya udhibiti na usalama wa chakula Dawa na Vipozi wakati…
THE REVOLUTIONARY GOVERNMENT OF ZANZIBAR MINISTRY OF HEALTHZANZIBAR FOOD AND DRUG AGENCY PUBLIC NOTICE TESTING GLYCERIN AND PROPYLENE GLYCOL FOR CONTAMINATION BEFORE THEIR USE IN THE MANUFACTURE OF PHARMACEUTICAL PRODUCTSFollowing the…
KUFUATIA TANGAZO LA KAZI LILILOTOLEWA TAREHE 17/08/2022, WAKALA WA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI (ZFDA) INAPENDA KUWATAARIFU WAOMBAJI WAFUATAO KUWA WANATAKIWA WAFIKE KATIKA USAILI KWA UPANDE WA UNGUJA UTAKAOFANYIKA SIKU YA…
Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA) ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa chini ya Sheria Namba 2/2006 na Marekebisho yake Namba 3/2017. Lengo kuu la kuanzishwa Taasisi hii ni…
Wajumbe wa steering committee wakipitia maendeleo ya mradi wa ASCEND unaofadhiliwa na EDCTP.
Tanzania Sensa tarehe 23 Agosti, 2022. "JIANDAE KUHESABIWA"
Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) inapenda kuwaarifu wananchi wote kuwa kuna taarifa zinazoendelea kutumwa katika mitandao ya kijamii (WhatsApp) juu ya uwepo wa tende aina ya Majdool ya Kampuni…
Kamati ya bajeti wametembelea ofisi ya Wakala wa Chakula, Dawa na vipodozi (ZFDA) na kupata taarifa fupi ya ujenzi wa jengo la Maabara la ZFDA na wamekagua jengo na wamepongeza…
Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi (ZFDA) yateketeza TANI 27 za mchele ambao umeingia maji na kupelekea kuharibika na kutofaa kwa matumizi ya binadamu.