ZANZIBAR FOOD AND DRUG AGENCY

Together We Protect Public Health

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mstaafu, Mhe. Balozi Deif Ali Iddi, akifungua jengo la Maabara ya ZFDA iliyopo Mombasa, katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

"Pamoja Tunalinda Afya ya Jamii"