ZFDA INTERN PHARMACIST RESULTS
Zanzibar Food and Drug Agency (ZFDA), hereby on 06/08/2024 release examination results for 17 Intern Pharmacists as it appears in the table below: ATTENDANCE DESCRIPTION NUMBER PERCENTAGE REGISTERED 17 100% SAT 17 100% ABSENT 0 0% RESULT SUMMARY DESCRIPTION NUMBER PERCENTAGE PASS 17 100% SUPPLEMENTARY 0 0% DISQUALIFIED 0 0% FAIL 0 0% OVERALL RESULTS […]
ZANZIBAR ADOPTS BOLD PROGRAM TO ERADICATE COUNTERFEIT MEDICINES
PRESS RELEASE ZFDA issues regulatory mandate to local importers and distributors to implement security label program on all incoming medicines, cosmetics and personal care products Zanzibar, Tanzania (April 19, 2024) – The Zanzibar Food and Drug Agency (ZFDA) has issued a regulatory directive to local importers and distributors that mandates application of a cutting-edge security […]
NOTICE TO HEALTH CARE WORKERS
EXAMINATION RESULTS
Zanzibar Food and Drug Agency (ZFDA), hereby on 22/02/2024 release examination results for 6 Intern Pharmacists as it appears in the table below: ATTENDANCE DESCRIPTION NUMBER PERCENTAGE Registered 6 100% Sat 6 100% Absent 0 0% RESULTS SUMMARY DESCRIPTION NUMBER PERCENTAGE Pass 3 50% Supplementary 3 50% Disqualified 0 0 Fail 0 0 OVERALL RESULTS […]
TANGAZO LA USAILI
Kufuatia tangazo la kazi lililotolewa tarehe 11 mwezi Disemba 2023, Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi (ZFDA) inapenda kuwaatarifu waombaji wafuatao kuwa wanatakiwa wafike katika usaili wa maandishi utakaofanyika siku ya Jumamosi tarehe 13 mwezi Januari 2024 kuanzia saa 2 kamili asubuhi (2:00) katika skuli ya ABOUD JUMBE SECONDARY SCHOOL FUONI. Waombaji wenyewe ni: ABOUD […]
UFUNGUZI WA MAABARA MPYA NA YA KISASA YA ZFDA WILAYA YA MAGHARIBI “B”- MOMBASA, ZANZIBAR.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mstaafu, Mhe. Balozi Deif Ali Iddi, akifungua jengo la Maabara ya ZFDA iliyopo Mombasa, katika shamrashamra za kuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar. “Pamoja Tunalinda Afya ya Jamii”
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU DAWA YA CARBOTOUX
UWEPO WA TAARIFA INAYOSAMBAA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU DAWA YA CARBOTOUX YENYE KUSABABISHA MADHARA KWA MTUMIAJI Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA), inapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu video inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuanzia tarehe 26/11/2023, ikimuonesha mtu anaetapika damu huku ikihusishwa na utuamiaji wa Dawa aina ya CARBOCISTEINE-PROMETHAZINE SYRUP yenye jina […]
TANGAZO LA MAFUNZO YA KIVITENDO
Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi, inawatangazia wadau wote kwamba, maombi ya usajili wa Mafunzo ya Kivitendeo ya Wafamasia Watarajali (Internship) kwa muhula unaoanza Januari 2024 yameanza kupokelewa rasmi kuanzia mwezi Novemba 2023 hadi tarehe 25 Disemba 2023.
CUSTOMER SERVICE WEEK
ZFDA yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kujumuika pamoja na wateja na kuwapatia vyeti vya shukrani. “Together We Protect Public Health”
UTEKETEZAJI WA BIDHAA ZA DAWA
Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA), imeteketeza jumla ya Tani 15 za bidhaa za Dawa zilizomaliza muda wake wa matumizi pamoja zile zilizoingia nchini kinyume na Sheria ya Wakala wa Chakula na Dawa. Zoezi hilo, limefanyika Kikungwi, Mkoa wa Kusini Unguka leo tarehe 23/09/2023. “Together we protect public health”