ELIMU KWA UMMA
Elimu kwa umma juu ya Usalama wa Chakula na Madhara yatokanayo na Dawa, yalitolewa kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mikindani, Dole , 21/09/2023 Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA), imetoa elimu kwa wanafunzi wa Sekondari wa Skuli ya Mikindani iliyopo Dole, mnamo tarehe 21/09/2023. Wanafunzi hao walipatiwa elimu juu ya Usalama wa Chakula, Madhara yatokanayo […]
WORLD FOOD SAFETY DAY
ZFDA Ikiadhimisha siku ya Usalama wa Chakula Duniani kwa Matembezi yaliyoanza Afisi za Mombasa na kumalizia Kisonge (Mapinduzi Square), Mgeni Rasmi wa Shughuli hio ni Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Maisha Bora Foundation Mheshmiwa Mama Mariam Mwinyi 10/10