Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA), imeteketeza jumla ya Tani 15 za bidhaa za Dawa zilizomaliza muda wake wa matumizi pamoja zile zilizoingia nchini kinyume na Sheria ya Wakala wa Chakula na Dawa.
Zoezi hilo, limefanyika Kikungwi, Mkoa wa Kusini Unguka leo tarehe 23/09/2023.