ZFDA YASHIRIKI SIKU YA MAZOEZI YA KITAIFA
Mkurugenzi Mtendaji na wafanyakazi wa Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi wameshiriki siku ya mazoezi kitaifa Tarehe 01 Januari 2021.
Mkurugenzi Mtendaji na wafanyakazi wa Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi wameshiriki siku ya mazoezi kitaifa Tarehe 01 Januari 2021.
TANGAZO Kufuatia tangazo la kazi lililotolea taraehe 22-10-2020 wakala wa chakula,dawa na vipodozi (ZFDA) inapenda kuwataarifu waombaji wafuatao kuwa wanatakiwa wafike katika usaili kwa upande wa pemba utakaofanyika siku ya…
UKAGUZI WA UCHINJAJI WA EID AL-ADHA Wakaguzi wa ZFDA, wakikagua wanyama ambao wamechinjwa kwa kuadhimisha siku kuu ya waislamu ya Eid Al-adha.
TANGAZO Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) inapenda kuwatangazia wafanyabiashara na wananchi wote kwa ujumla kuwa wale wote wanaotaka kuchinja wanyama kwa kipindi hiki cha kuelekea Sikukuu ya Eid…
TANGAZO: Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) kwa kushirikiana na Manispaa za Mkoa wa Mjini Magharibi zinapenda kuwatangazia wafanyabiashara wote kuwa, ifikapo tarehe 20/07/2020, kwa mujibu wa Sheria namba 2…
ZFDA imekifunga kiwanda cha kutengeneza Sanitizers feki
ZFDA yaanza kufanya ukaguzi wa maziwa katika maeneo mbali mbali kufuatia agizo walilotoa katika vyombo vya habari Ukaguzi wa uuzwaji wa maziwa MUENDELEZO WA UKAGUZI WA UUZWAJI WA MAZIWA ZANZIBAR
TAARIFA KWA UMA Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) ni taasisi iliyo chini ya Wizara ya Afya inayofanya kazi kwa mujibu wa Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi Na. 2/2006…
Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) inawatangazia wafanyabiashara wote wa maziwa kuwa, ifikapo tarehe 20 Februari 2020, kwa mujibu wa Sheria namba 2 ya 2006 ya Chakula, Dawa na Vipodozi…
UTANGULIZI Wakala wa chakukula dawa na vipodozi imepata ujio wa wageni kutokea TBS tarehe 14/11/2019 iliopo mombasa zanzibar kwa ajili yakubadilishana utaalam baina ya wafanyakazi wa ZFDA na TBS ili…