ZFDA yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kujumuika pamoja na wateja na kuwapatia vyeti vya shukrani.