ZIARA YA WAGENI WA TBS
UTANGULIZI Wakala wa chakukula dawa na vipodozi imepata ujio wa wageni kutokea TBS tarehe 14/11/2019 iliopo mombasa zanzibar kwa ajili yakubadilishana utaalam baina ya wafanyakazi wa ZFDA na TBS ili…
All News related to ZFDA
UTANGULIZI Wakala wa chakukula dawa na vipodozi imepata ujio wa wageni kutokea TBS tarehe 14/11/2019 iliopo mombasa zanzibar kwa ajili yakubadilishana utaalam baina ya wafanyakazi wa ZFDA na TBS ili…
Mkuu wa kitengo cha Uchambuzi wa Athari zitokanazo na Chakula wa Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA)Aisha Suleiman akitoa Elimu ya Matumizi ya Chakula Vinywaji pamoja na Peremende kwa Wanafunzi…
Wageni kutoka china national research institute of food and fermentation industries ya china wakitembelea ZFDA SIKU YA 07-10-2019 HAPO OFISINI KWAO MOMBASA ZANZIBAR. Katika kuendeleza ushirikiano baina ya serikali ya…
Wakala wa chakula na dawa kwa kushirikiana na jeshi la polisi imeteketeza mchele usiofaa kwa matumizi ya binadamu ili kulinda afya ya Jamii.
Dr Burhani O Simai Wafamasia Zanzibar Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi inawatakia mafanikio mema wafamasia wote, ikiwa leo ni siku ya maadhimisho kwa wafamasia wote duniani.. kauli mbiu ya…
Wazazi na Walenzi nchini wametakiwa kuepuka kuwanunulia Watoto wao bidhaa aina ya Choklet zilizotengenezwa mfano wa Bomba ya Sindano kutokana na kuingizwa nchi kimagendo bila kuthibitishwa ubora na usala wake…