UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI WA UJENZI WA MAABARA YA WAKALA WA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR (ZFDA)
Mhe. ZUBEIR ALI MAULID (Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar) ameweka jiwe la msingi wa Ujenzi wa Maabara ya kisasa ya Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA). Ujenzi…