ELIMU KWA UMMA
Elimu kwa umma juu ya Usalama wa Chakula na Madhara yatokanayo na Dawa, yalitolewa kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mikindani, Dole , 21/09/2023 Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA), imetoa elimu kwa wanafunzi wa Sekondari wa Skuli ya Mikindani iliyopo Dole, mnamo tarehe 21/09/2023. Wanafunzi hao walipatiwa elimu juu ya Usalama wa Chakula, Madhara yatokanayo […]