You are currently viewing Makamo wa Pili wa Raisi kutembelea Banda la ZFDA

Makamo wa Pili wa Raisi kutembelea Banda la ZFDA

Afisa uhusiano wa wakala wa chakula Dawa na Vipodozi nd. zuwena ngwali makame akimpatia maelezo mhe. Hemed Suleiman Abdulla juu ya udhibiti na usalama wa chakula Dawa na Vipozi wakati alipotembelea Banda la ZFDA katika maonesho ya Tisa ya biashara,maisara Zanzibar

Please follow and like us: