UFAFANUZI JUU YA TAARIFA INAYOSAMBAA KUHUSU TENDE INAYOMALIZIA MUDA WA MATUMIZI WA APRIL 2022
Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) inapenda kuwaarifu wananchi wote kuwa kuna taarifa zinazoendelea kutumwa katika mitandao ya kijamii (WhatsApp) juu ya uwepo wa tende aina ya Majdool ya Kampuni…