You are currently viewing ZIARA YA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI

ZIARA YA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI

  • Post author:
  • Post category:ZFDA

Kamati ya bajeti wametembelea ofisi ya Wakala wa Chakula, Dawa na vipodozi (ZFDA) na kupata taarifa fupi ya ujenzi wa jengo la Maabara la ZFDA na wamekagua jengo na wamepongeza hatua ilofikiwa ya ujenzi.

Please follow and like us: