You are currently viewing UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI WA UJENZI WA MAABARA YA WAKALA WA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR (ZFDA)

UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI WA UJENZI WA MAABARA YA WAKALA WA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR (ZFDA)

  • Post author:
  • Post category:ZFDA

Mhe. ZUBEIR ALI MAULID (Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar) ameweka jiwe la msingi wa Ujenzi wa Maabara ya kisasa ya Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA). Ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Machi 2021. Maabara hio itaweza kuengeza ufanisi wa uchunguzi wa bidhaa zote zinazoingia nchini za Chakula, Dawa, Vipodozi na Vifaa vya utibabu.

Please follow and like us: