You are currently viewing TANGAZO LA USAILI PEMBA

TANGAZO LA USAILI PEMBA

 • Post author:
 • Post category:ZFDA

TANGAZO

Kufuatia tangazo la kazi lililotolea taraehe 22-10-2020 wakala wa chakula,dawa na vipodozi (ZFDA) inapenda kuwataarifu waombaji wafuatao kuwa wanatakiwa wafike katika usaili kwa upande wa pemba utakaofanyika siku ya jumamaosi tarehe 14-11-2020 kuanzia saa mbili na nusu asubuhu (2:30) katika ukumbi wa mikutano wa kiwanda cha makonyo – wawi chake chake pemba .

Waombaji wenyewe ni :

1.WATAALAMU WA CHAKULA (FOOD SCIENTIST)

 1. ABDALLA MASOUD SALIM
 2. RUHAILA JUMA ABEID

2.WAKAGUZI WA BIDHAA ZA MIFUGO

 1. SALEHE OMAR KHAMIS
 2. MOH’D SALIM ALI
 3. RIZIKI HAMAD MBAROUK
 4. ABDILLAH MASOUD SALEH

3.FUNDI SANIFU MADAWA (PHARMACEUTICAL TECHNICIANS)

 1. SHEMSA SALIM AZIZ
 2. RUKAIYA MOH’D MBAROUK
 3. NURU SHAABAN ABDALLA
 4. KHADIJA YUSSUF ALI
 5. IDRISA BAKARI KHAMIS
 6. HUDHAIFAT KHALFAN KHAMIS
 7. MARYAM MROPE ANTONY

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MKURUGEZI MTENDAJI WAKALA WA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR.

Please follow and like us: