UTANGULIZI
Wakala wa chakukula dawa na vipodozi imepata ujio wa wageni kutokea TBS tarehe 14/11/2019 iliopo mombasa zanzibar kwa ajili yakubadilishana utaalam baina ya wafanyakazi wa ZFDA na TBS ili kuona masuala mbali mbali kama vile ukaguzi wa chakula na vipodozi ili kutathmin kwa pamoja shughuli mbali bainambali baina ya TBS na ZFDA.
LENGO LA MKUTANO
- Mashirikiano ndilo suala kubwa lililozungumziwa baina ya TBS na ZFDZ katika masuala ya chakula aana vipodozi.
- Kupeana mifumo katika kujenga mahusiano baina ya wafanya wafanya kazi wa TBS na zfda hasusan ile inayohusiana na masuala ya chakula na vipodozi,
- Kufanya mafuzo mbali mbali baina ya tbs na zfda ili kuata ujuzi juu ya masuala ya chakula na vipodozi kwa ajili ya kuendeleza shughuli zinazofanywa kila siku
- Kuunda team ya pamoja baina ya zfda na tbs ambayo itaratibu mifumo mbali mbali ya masuala ya chakula na vipodozi
- Kushirikiana katika masuala ya ukaguz,usaili,na uchuguzi wa kimaabara ili kuendelea kufanya masuala ya chakula na vipodozi.
HITIMISHO
ZFDA imeukbali kuendeleza ushirikiano baina ya TBS na ZFDA ili kuendeleza mashirikiano ambayo yalokuwepo kwa TFDA kwa ajili ya kufanya kazi kwa pamoja na kuendeleza shughuli mbali mbali juu ya masuala ya chakula na vipodozi