You are currently viewing CHINA NATIONAL RESEARCH INSTITUTE OF FOOD AND FERMENTATION INDUSTRIES VISIT

CHINA NATIONAL RESEARCH INSTITUTE OF FOOD AND FERMENTATION INDUSTRIES VISIT

  • Post author:
  • Post category:ZFDA

Wageni kutoka china national research institute of food and fermentation industries ya china

wakitembelea ZFDA SIKU YA 07-10-2019 HAPO OFISINI KWAO MOMBASA ZANZIBAR.

Katika kuendeleza ushirikiano baina ya serikali ya Zanzibar na Jamuhuri ya watu wa China wageni hao walikuja kwa lengo la kuona jinsi taasisi ya zfda inavofanya kazi zake mbalimbali katika vitengo vya chakula na maabara.

Pia wamesisitiza kuwa watatoa mashirikiano zaid baina ya taaasisi hizo mbili katika nyanja zifuatazo

*maabara watatota vifaa

*uwezo wa wafanya kazi kupitia mafunzo ya ukaguzi wa chakula.

Ushirikiano katika teknolojia ya mambo yanayohusu vyakula na ushauri kwa ujumla .

Please follow and like us: