ZFDA NA SIKU YA WAFAMASIA DUNIANI

ZFDA NA SIKU YA WAFAMASIA DUNIANI

Dr Burhani O Simai
Wafamasia Zanzibar

Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi inawatakia mafanikio mema wafamasia wote, ikiwa leo ni siku ya maadhimisho kwa wafamasia wote duniani.. kauli mbiu ya mara hii ni “USALAMA NA UFANISI WA DAWA KWA WOTE”..

Please follow and like us:
error

Leave a Reply

Close Menu