Maangamiza Zaidi ya Tani 62 za Bidhaa Zilizoharibika

Maangamiza Zaidi ya Tani 62 za Bidhaa Zilizoharibika

Bodi ya Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar Yaangamiza Zaidi ya Tani 62 za Bidhaa Zilizoharibika kwa Matumizi ya Binaadamu. 30.11.2016 Bodi ya Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDB) imeangamiza zaidi ya tani 62 za vyakula vibovu na vilivyopitwa na wakati katika zoezi lililofanyika Kibele Mkoa Kusini Unguja. Mkuu wa Idara ya Biashara na Uendeshaji wa ZFDB Ndugu Abdulaziz Shaib Mohd amesema bidhaa hizo mbovu zinatokana read more...