MAFUNZO YA UTUMIAJI WA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA ZFDA

MAFUNZO YA UTUMIAJI WA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA ZFDA

Wakala wa Dawa na Chakula Zanzibar, imeunda mfumo wa utoaji huduma wa kielektroniki ambao utazinduliwa siku ya 29 machi 2018. Mfumo huo umepelekwa kwa wadau na kupatiwa mafunzo kuanzia siku ya Tarehe 20 mpaka 23 Machi 2018 katika ukumbi wa mikutano Serenna Hotel Zanzibar.

About the Author

Leave a Reply